pia unaweza kuona mengineyo mengi ikiwemo offer nataarifa mbalimbali kwa luga ya kingereza http://ngasmet.topoffers.us au http://topoffers.blogspot.com
karibuni tuchemshe mabongo,si siri sie sote wabongo!!
waswahili hatuna makuu msihofu na msitie shaka,shari kwetu sisi ni mwiko na kamwe mwiko hauvunjwi,
amakweli mwenda kwao si mtumwa na sisi bongo ndo kwetu,kwetu tulimokulia na haiwi ila kuipamba kwa sifa zake lukuki. ama vipi wenzangu,basi njooni tuuvunje ukimya
are you a pharmacy technician/RPhT
join our blog and share your experiece with others,write your thoughts and let us know what are the challenges you are experiencing daily as a pharmacy tech, share your experties with others in the same field as you,also we want to here from those who are not employed at the moment,let us know how we can help or how you can help others with employment tips. visit us at http://pharmacytechorganization.blogspot.com
mchezo wa soka ndo mchezo unaopendwa kwa asilimia kubwa duniani
habari nzuri kwa wapenda soka wote,hivi karibuni tutakuwa na taarifa mbalimbali za soka na wewe
pia unaweza kushiriki kutoa taarifa huzo katika blog yetu,
hivyo hima hima wabongo wenzangu,wazungu wanasema "stay tune",
anza kutoa maoni yako leo ili tuweze kuungana pamoja kuongelea mada hii mpya.
soka la tanzania na east afrika linahitaji kuwa na wasemaji na wasemaji ni sisi na wewe,tuko pamoja.
soccer fan,football fan dont miss this exclussive offer on sports gear and coupons, http://ngasmet.topoffers.us is full equiped with the best deals on the internet,here you can shop,get good living ideas suitable for the the current economy,and remember for all your shopping needs andorders we are oppen 24/7,we are to help you can call too for more deals,visit your shop today,see for youself.you are welcome.
No comments:
Post a Comment